The House of Favourite Newspapers

Diamond Awahusia Watoto Wake Mtandaoni

Diamond Platnumz.

DAR ES SALAAM: Msanii wa kiwango cha kimataifa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amewaasa wanaye kuwa wanatakiwa kuitumia vyema midomo yao.

Watoto wa Diamond, Tiffah (kushoto) na Nillan (kulia).

Haijafahamika kwanini Diamond, ametoa wosia wa namna hiyo na huenda amefanya hivyo kutokana utamaduni wetu sisi Waafrika kupenda kuongea ongea.

Pia inawezekana kuwa Diamond  ametumia ujumbe huo kuwaumbua mahasimu wake ambao wamekuwa wakisema kuwa Nillan si mwanaye.

 

Comments are closed.