The House of Favourite Newspapers

Diamond: Bongo Hakuna wa Kushindana na Mimi

0

Taarifa hii ikufikie mpenzi wa buridani kwamba, supastaa wa Boingo Fleva, Diamond Platnumz amedai kuwa kumshindanisha yeye na wasanii wengine nchini ni kuionea tasnia ya muziki Tanzania.

Diamond amesema hayo jana Jumatatu, Machi 14, 2022 wakati wa mahojiano maalum yaliyofanyika na Kituo cha Radio cha wasafi FM alipofika kwa ajili ya kutambulisha EP yake mpa inayokwenda kwa jina la FOA (First of All) ambayo aliiachia rasmi usiku wa kuamkia machi 11, 2022.

Diamond amesema yeye ni vyema angepaata mshindani wa kimataifa kuliko mshindani wa ndani kwani soko la ndani ameshalimudu na hakuna msanii wa ndani wa kumfikia kimuziki hata kidogo.

Leave A Reply