The House of Favourite Newspapers

Roma Afananisha EP ya Diamond Platnumz na Karoti

0


Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rapa Roma Mkatoliki ameamua kuifananisha FOA na Karoti baada ya kumkuta mwana anatafuna karoti na kumwambia anatafuna FOA😁 jamaa akamaind,hasa sijui kisa rangi au uzito wa EP.

“Kuna Mwana Anatafuna Zake Karoti Hapa Nimemwambia Naona Unatafuna FOA!! Kanimind!!”

Wengi kwenye comments wamechukulia kama jamaa kaidis EP kiaina, vipi kwa upande wako?

KUSIKILIZA #FOA EP INGIA HAPA ==> #FOAtheEP

Leave A Reply