The House of Favourite Newspapers

Diamond: Navaa Kiatu Mara Moja Natupa

0

Moja ya video za Diamond Platnumz zinazotrendi ni ile ambayo inamuonesha akiwa katika chumba chake cha kuhifadhia nguo na viatu vyake huku akionesha tambo zake mbele ya rafiki zake.

Diamond ambaye pia ni Rais wa Lebo ya Wasafi anasikika akisema anamiliki viatu vingi kiasi kwamba huvaa pea mara moja na kuitupa pembeni.

Pia Diamond anawaonya wanaovaa cheni feki waache mara moja kwani wataugua saratani (kansa).
Diamond anafunguka hayo huku akitaja bei ya cheni yake yenye sura ya mnyama Simba kuwa inafikia shilingi milioni 120 za Kitanzania.

Hata hivyo katikati ya tambo hizo, msanii wa kitambo Bongo, H Baba ameibuka na kumjibu Diamond kuwa kufanya hivyo ni ulimbukeni au ushamba.

Cc; @sifaelpaul

Leave A Reply