The House of Favourite Newspapers

Dili la Pesa Chafu Alilopata Iggy Azalea

Baada ya kuachana na Label yake ya Island Records, rapa wa kike, Iggy Azalea amepata bonge la dili ambalo linamuingizia mkwanja kiasi cha Dola Million 2.7 (sawa naTsh. Bilioni 6.2) na cheo kikubwa pia cha kusajili wasanii wengine.

 

Iggy ameandika kupitia akaunti yake ya Tweeter ameandika;

“Najiskia kama bosi siku ya leo, najivunia kusaini dili jipya la kiasi cha Dola Million 2.7 na nikiwa na mamlaka ya asilimia 100 kusaini wasanii wengine.”

 

Comments are closed.