The House of Favourite Newspapers

Diva Amshukia Mke Mwenzake

0

MTANGAZAJI Diva The Bawse amemshukia mtu anayetajwa kuwa ni mke mwenzake kwa mume wake, Sheikh Abdulrazack Salum.

Hii ni baada ya kusambaa kwa tuhuma kuwa mke mwenzake huyo amekuwa akituma watu ili kumchafua ndipo Diva akaamua kumpa ujumbe huu;

 

“Mke mwenza or wake wenza ma-ex na wengine! Pls jamani I build my brand for years you know a little fame is good but you can now relax after cheap publicity punguzeni kiki kwa kutumia jina langu.

 

“Jamani do you n let me do me! Kiroho safi tu imetosha and closing this chapter would not like to be involved with any kinda mess and drama that y’all tryna create and I have a career and image to protect!

 

Mi siyo mwenzenu kiroho safi tu I’m too big for this shit.. besides I’m legal yall know pia nawashauri tutafute kazi za kufanya some of us got some work to do y’all kno what it is…Mbarikiwe thanks…”

 

Diva; baada ya kufunga ndoa hiyo amekuwa akisumbua kwenye mitandao ya kijamii na hiyo ni baada ya awali kudai kuwa mume atakayemuoa, basi ajiandae kulipa mahari ya shilingi milioni 500 ila inatajwa kuwa kwenye ndoa yake hiyo mpya, alipewa maua tu.

MAMA KANUMBA AFUNGUKA ALIVYOONA MANDONDOCHA KANISANI kwa MFALME ZUMARIDI, ATAMANI KUIGIZA NA LULU..

Leave A Reply