The House of Favourite Newspapers

DKT MWAKA Aanika Vituko vya WAKE ZAKE, TUNALALA CHINI -VIDEO

0

Mkurugenzi wa Foreplan International, Dk Mwaka amezungumza na Global TV ONLINE namna alivyoaanza maisha mpaka kumiliki kampuni yake binafsi pamoja na kujaliwa wake watatu anaoishi nao nyumba moja.

Akizungumza namna alivyojitahidi kutokana na hali ngumu ya maisha Dkt Mwaka ameeleza namna alivyojichanganya kuhakikisha anapata mkate wa siku.

Leave A Reply