The House of Favourite Newspapers

Nandy Kugonga Shoo 13 Marekani

0

MSANII wa muziki nchini Bongo, Nandy,  anatarajia kufanya ziara yake ya kimuziki nchini Marekani ambapo atafanya shoo 13 kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja.

 

Ziara huyo ijulikanayo kama Nandy na Nusu World Tour 2020 inatarajiwa kuanza rasmi Mei 22 hadi Juni 27 mwaka huu.

 

Wakati huohuo, msanii Diamond Platnumz ametangaza kufanya ziara nchini Marekani kuanzia Agosti 21 hadi Septemba 21 mwaka huu.

Leave A Reply