The House of Favourite Newspapers

Dogo Janja adaiwa kuiba ‘Biti’

0

9

Staa wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’.

Stori: Andrew Carlos

Staa wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ anadaiwa kuiba mdundo ‘biti’ ya mwanamuziki maarufu wa Reggae kutoka Norway, Philip Boardman ‘Admiral P’ na kuitumia katika wimbo wake mpya wa My Life.

Kwa mujibu wa chanzo, biti hiyo imeibiwa katika Ngoma ya Hatere ya Admiral akimshirikisha Onkl P.“Wimbo huu unapatikana katika albamu ya Admiral ya Selvtillit & Tro,” kilisema chanzo.

Baada ya kunasa ubuyu huu, Risasi Vibes lilimtafuta Dogo Janja ambapo alifunguka;“Ninachojua mmiliki wa hiyo biti ni Carl Hovind ambaye ni raia wa Norway na amenithibitishia ndiye mmiliki halali wa hiyo biti na kule kwao mmiliki ni prodyuza,” alisema Dogo Janja.

Leave A Reply