The House of Favourite Newspapers

Dudu Baya Amwaga Machozi Kisa Mwanae Wille (Video)

0

Msanii wa Bongo Fleva Dudu Baya amejikuta katika wakati mgumu baada ya mtoto wake anayefahamika kwa jina la Wille kupoteza muelekeo wa shule, na kurandaranda mitaani hususani katika maeneo ya Coco Beach.

Dudu ambaye kwa sasa amerudi rasmi kwenye muziki na anatamba na ngoma yake mpya inayoitwa Dera, amesema kuwa amejitahidi sana kumsomesha mtoto wake ila mtoto mwenyewe hataki shule.

Leave A Reply