The House of Favourite Newspapers

Eric Shigongo Young Entrepreneurs Mentorship Programme

0

SHIGONGO: Kwa utafiti wangu nimegundua kitu kinachoweza kumsaidia kijana wa Kitanzania kutengeneza utajiri ni elimu ya vitendo na usimamizi, sio vitabu vya darasani peke yake.

Hivyo basi natafuta vijana ishirini (20) popote walipo nchini Tanzania ili wawe chini yangu (MENTORSHIP) kwa miezi mitatu (3) wakijifunza jinsi ya kutengeneza utajiri kwa vitendo.

Nitawasiliana nao kila siku na watafika ofisini kwangu kujifunza kwa vitendo namna ninavyofanya shughuli zangu, wengine nitawaunganisha na wafanyabiashara wakubwa mifano ya kina Mengi, Mohamed Dewji n.k ili wajifunze kwao.

Ili kufahamu zaidi juu ya programu hii na kujiunga tafadhali nenda kwenye ukurasa wangu wa Instagram uitwao. @ericshigongo.

ERIC SHIGONGO: JINSI YA KUONGOZA BIASHARA KUTOKA SIFURI HADI MABILIONI

Leave A Reply