The House of Favourite Newspapers

Esha: Nikipata tatizo team diamond itahusika

0

ESHA35 Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buhet.

Stori: Imelda Mtema
Chokochoko! Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buhet amefunguka kuwa endapo atakumbwa na tatizo lolote basi timu ya Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Team Diamond itahusika.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Esha alisema kuwa chokochoko zilianza alipoposti picha za Ali Kiba mtandaoni ambapo Team Diamond walianza kumtukana na kumwambia watamfanyia kitu mbaya.

Leave A Reply