The House of Favourite Newspapers

Esma Atoboa Siri Nyingine Ya Mondi

0

MWANAMAMA Esma Khan ambaye ni dada wa staa wa Bongo Fleva; Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’, ametoboa siri nyingine ya mafanikio ya kaka yake huyo kuwa ni nyota.  Esma ameliambia Gazeti la IJUMAA kuwa, kaka’ke huyo, pamoja na kufanya muziki mzuri, lakini siri nyingine anabebwa na nyota kali aliyonayo.

“Kaka yangu ameweza kudumu kwenye muziki kwa miaka 10 kwa sababu anajituma sana, anajua kuimba na kucheza, lakini pamoja na hayo nyota ndiyo inamfanya awe juu,” alisema Esma.

Leave A Reply