The House of Favourite Newspapers

Ester Kiama: Nimemmiss Dude

0

esterqMsanii wa filamu Bongo, Ester Kiama.

Gladness Mallya

MSANII anayekuja kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Ester Kiama ambaye amekuwa akikana kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na Kulwa Kikumba ‘Dude’, amesema hivi sasa anajisikia kum-miss staa huyo anayezunguka katika kampeni za CCM mikoani.

dude2Kulwa Kikumba ‘Dude’.

Akipiga stori na gazeti hili, Ester alisema Dude alikuwa akimsaidia mambo mengi ikiwa ni pamoja na kumtayarishia mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari, filamu na mambo mengine mengi ambayo kwa sasa yamelala.

“Kiukweli nammiss sana, kwa sasa mambo yangu mengi yamesi-mama hadi uchaguzi upite, hapa nilipo nauza mkaa ili atakaporudi tuweze kuchanga pesa zilizopatikana tuendelee na kazi ya filamu,” alisema.

Leave A Reply