The House of Favourite Newspapers

Ethiopia Yaikosoa Facebook Kwa Kufuta Ujumbe wa Waziri Mkuu

0

Serikali ya shirikisho ya Ethiopia imeishutumu Facebook kwa kueneza ghasia baada ya kufuta ujumbe wa waziri mkuu Abiy Ahmed inayowataka wananchi kushika silaha kupambana na waasi wa TPLF.

Katika taarifa ya Facebook, serikali imesema mtandao mkubwa wa kijamii umeonesha mlengo wake kwa kufuta ujumbe wa waziri mkuu.

Pia inalishutumu shirika la habari la Reuters kwa kueneza taarifa za uongo kuwa baadhi ya miji imeanguka kwa waasi wakati si kweli”.

Twitter haiwezi kufuta ujumbe wa Abiy ,kwa kuwa inaweza kuwa na manufaa kwa umma, ujumbe huo ukiendelea kubaki.

Ethiopia mara nyingi imekosoa ripoti za vyombo vya habari vya kimataifa kwa taarifa za magharibi mwa nchi hiyo.

Leave A Reply