The House of Favourite Newspapers

Exclusive: Anna Juakali Amkabidhi Mungu Ndoa Yake, Afichua Ya Uhusiano – Video

0


Staa wa Bongo Movie anayefanya vizuri kwenye tamthiliya ya Juakali Anna, amefanya mahojiano na Global Tv kupitia Exlusive za Imelda Mtema na kueleza kuwa yeye anapokutana na watu siyo muongeaji bali hukaa kimya na kuyasoma mazingira na hivyo watu kudai kuwa anaringa.

Anna ameendelea kuiambia Global Tv kuwa kipaji chake na namna mashabiki zake wanavyompenda zote hizo ni sifa na Utukufu wa Mungu.

Leave A Reply