The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: DOMOKAYA “Alikiba KANIIBIA, Anakunywa Pombe, Afanye Yake” – VIDEO

Ukiwaona wasanii wa Bongo Fleva kama wakina Diamond na Alikiba wanang’ara sasahivi basi ujue walitengenezewa njia nzuri na waasisi ama wakongwe wa muziki huo wakiwemo Mandojo na Domokaya.

Global TV imemtafuta Domokaya ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu na hivi sasa amejichimbia mkoani Arusha na kuzungumza nae kuhusiana na tuhuma zake dhidi ya King Kiba kumuibia msemo wake wa ‘Yeee Baba‘ kwenye ngoma yake ya Kadogo ambayo hivi sasa ni tishio mjini.

Domokaya amesema Alikiba hakuzungumza na yeye wala Mandojo ili kuomba kutumia msemo huo hivyo ni sawa na wizi ambapo amemshauri aache kutumia vionjo vya watu na badala yake azidishe ubunifu kwenye kazi yake ya muziki.

 

Comments are closed.