The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Kijana Adai “Kingwendu ni baba Yangu” – Video

0

KIJANA aliyejitambulisha kwa Jina la ABUYE RASHID MZANGE amesema kuwa Muigizaji Kingwendu ni baba yake mzazi na hakuwa akifahamu hilo mpaka alivyokuwa kijana mkubwa ambapo amesema mama yake ndiye alimuambia ukweli.

 

Abuye au kwa jina lingine Kiss Flavour amesema kuwa alipokutana na Kingwendu na kumueleza hilo, Kingwendu alichomoa na kumuona kama tapeli.

MSIKILIZE KIJANA AKIFUNGUKA

Leave A Reply