The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Lulu Avunja Ukimya – “Nimetua Mzigo Wa Mama Kanumba, Nitaubeba Msalaba Hadi Kufa” – Video

0

Mwigizaji Elizabeth Michael almaarufu Lulu amefunguka baada ya kukutana uso kwa uso na Mama Kanumba, Flora Mtegoa na kusalimiana ikiwa ni takribani miaka mitano ya kutosalimiana jijini Arusha.

Lulu Akutana Uso kwa Uso na Mama Kanumba, Flora Mtegoa jijini Arusha

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii! ======================== Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰

 

Leave A Reply