testiingg
The House of Favourite Newspapers

Lulu Akutana Uso kwa Uso na Mama Kanumba, Flora Mtegoa jijini Arusha

0

Mwigizaji Elizabeth Michael almaarufu Lulu amekutana uso kwa uso na Mama Kanumba, Flora Mtegoa na kusalimiana ikiwa ni takribani miaka mitano ya kutosalimiana.

Mpango mzima ni kwenye maandalizi ya filamu ya Irene Uwoya itakayozinduliwa hapo leo jijini Arusha.

Leave A Reply