The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: Mama GODZILLA Afunguka “MAKONDA Sio AKILI Yake” – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, Jana Jumanne, Februari 19, 2019 alimkabidhi rapa Farid Kubanda ‘Fid Q’ kiasi cha Tsh milioni 5 ili ampelekee Mama mzazi wa aliyekuwa rapa wa Bongo, Marehemu Godzilla.

Baada ya kupokea fedha hizo Mama Mzazi wa Godzilla, amezungumza na Global TV na kumshukuru RC Makonda kwa msaada huo.

Comments are closed.