Exclusive: Mama Kanumba Amlipukia Zumaridi, Ampa Siku 7 Amrudishe Mwanaye, Amwaga Machozi… Video
KWENYE EXCLUSIVE ya IMELDA MTEMA ndani ya Global TV amefanya mahojiano maalum na mama wa Steven Kanumba ambaye ameeleza kwa uchungu kufuatia kauli za Zumaridi kudai anauwezo wa kumrejesha Kanumba…… ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx