The House of Favourite Newspapers

Video: Yajue Mapito Ya Mwana-Fa Akipanda Ngazi Kwa Ngazi Hadi Kuapa Kuwa Naibu Waziri….

0


Februari 26, 2023 nabaki kuwa siku nyingine ya kihistoria kwa Mbunge wa Muheza mkoani Tanga, Khamis Mohamed Mwinjuma almaarufu Mwana-FA baada ya kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Ni katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka ikieleza kuwa Mwana-FA ametuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua nafasi ya Pauline Gekul ambaye amehamishwa kuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria…

Leave A Reply