The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Mama Wema -“Jokate Anajitambua Sana” – Wema Muda Wake Bado – Video

0


Mama wa staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu amesema kuchaguliwa kwa Jokate Mwegelo kuwa Katibu Mkuu wa UWT ni jambo sahihi kwa sababu Jokate ana nidhamu, ni mchapakazi na anajitambua.

Ameongeza kuwa mwanaye Wema naye anatakiwa kujitambua na kwamba muda wake wa kufanya makubwa kwenye siasa, bado haujafika.

Leave A Reply