The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Mke Wa Profesa Janabi Afichua Ratiba Ya Kula, Anavyowasaidi Wenye Shida Ya Afya Ya Akili – Video

0

Mtaalam wa afya ambaye pia ni miongoni mwa wakurugenzi wa Kliniki ya Doctor’s Plaza, Sofia Byanaku @sofiabyanaku ambaye pia ni mke wa Profesa Mohamed Janabi amesema kuwa ili kuwa na afya bora, unatakiwa kula chakula cha jioni kuanzia saa 12 jioni hadi saa moja usiku ili chakula kimeng’enywe vizuri na kuepukana na magonjwa mbalimbali.

Sophia ambaye kwa sasa pia ni mhamasishaji wa masuala ya afya ya akili kupitia taasisi ya @bloomwellnesstz amewasisitizia watu kuwa makini na afya za akili zao na kuacha unyanyapa kwa watu wanaopitia hali kama hiyo.

Leave A Reply