Exclusive: Mkubwa Fella “MondiYuko Karantini” Sallam Azungumza Live

 

Diwani wa Kata ya Kilungule ambaye pia ni meneja wa mwanamziki Diamond Platnum, Said Fella maarufu kama Mkubwa Fella amekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa meneja mwenzake Sallam Mendez Maarufu kama Sallam SK yuko hoi mahututi kwenye chumba cha uangalizi maaluumu ICU.

 

Toa comment