The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: Mkuu Shule Iliyoongoza Kitaifa Kidato cha 6 Afunguka – Video


MKUU wa Shule ya Sekondari Kisimiri, Valentine Tarimo, iliyoongoza kwa matokeo mazuri ya Kidato cha Sita 2019 kwa kuwa ya kwanza kitaifa, amesema kuwa hawajaridhishwa sana na matokeo hayo japo ni mazuri kwa kuwa kuna wanafunzi wawili kati ya 60 waliofanya mtihani huo kutokea shuleni kwake wamepata daraja la pili wakati lengo lao lilikuwa ni kupata daraja la kwanza.

Shule hiyo ni ya serikali iliyopo wilayani Arumeru kkoani Arusha.

Comments are closed.