The House of Favourite Newspapers

FA Adai Fid Q ‘Mlaini’

0
Mwana FA.

RAPA asiyechuja kwenye muziki wa Hip Hop Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ amedai mkali mwenziye mwenyeji wa Mwanza, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amebadilika na kuwa mlaini tofauti na zamani.

Akipiga stori na Risasi Vibes, mwana FA alisema kwa muda mrefu amemtambua Fid Q kama mwanamuziki mgumu ambaye chipukizi walitamani kuwa kama yeye, lakini ajabu kwa sasa amebadilika na kuwa mtu f’lani mlaini.

Fid Q.

“Ile sura na swaga za ‘ki-hardcore’ kwa Fid Q kwa sasa hazipo, jamaa kiukweli amebadilika sana, sikiliza ngoma zake, cheki anavyocheza na maneno kwenye nyimbo zake, halafu malizia kwenye maisha yake ya kawaida, kiukweli amebadilika sana, si Ngosha yule niliyekuwa nikimjua,” alisema.

Ally Katalambula | Risasi Jumatano.

Leave A Reply