The House of Favourite Newspapers

Fahamu Kilivyotokea Kifo cha Diwani, Wajukuu Zake Waliochomelewa Ndani – Video

0

MWILI wa aliyekuwa Diwani mteule Kata ya Kikongo Kibaha Vijijini (CCM), Fatuma Ngozi na wajukuu zake wawili waliokufa baada ya nyumba yake kuchomwa moto usiku wa kuamkia juzi,wamezikwa jana, Novemba 10, 2020.

 

Majirani walioshuhudia nyumba hiyo ikiteketea kwa moto, wameeleza jinsi walivyojaribu kuwaokoa marehemu lakini ikashindikana.

 

Leave A Reply