The House of Favourite Newspapers

FULL MAUNO! Shuhudia Makonda, Shigongo, Gondwe, Masanja Wakichuana – Video

NI furaha iliyoje ndani ya Yesu? Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaongoza viongozi wenzake na watu wengine kucheza muziki wa Injili katika jukwaa la Tanganyika Packers wakati wa kongamano la Victory Campus Night lililofanyika usiku wa leo Mei 17, 2019.

Makonda aliyeongozana na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe, Mkurugenzi wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo,  Mchungaji wa Kanisa la VCCT Mbezi Beach, Dkt. Huruma Nkone,  na mchekeshaji ambaye pia ni Mchungaji Emmanuel Mgaya ‘ Masanja Mkandamizaji’, mtangazaji wa Clouds Media, Sama Sasali na wengine, waliona isiwe tabu na wakaanza kucheza jukwaani hapo baada ya kumaliza kutoa nasaha zao.

 

PICHA NA RICHARD BUKOS | GLOBA PUBLISHERS

SHUHUDIA WAKISAKATA RUMBA

Comments are closed.