The House of Favourite Newspapers

Gabon: Rais Awekwa Chini Ya Ulinzi Baada Ya Jeshi Kufanya Mapinduzi

0

 

Rais Ali Bongo

Rais Ali Bongo aliyekaa madarakani kwa miaka 14, amewekwa kizuizini na Jeshi la Nchi hiyo muda mfupi baada ya Jeshi hilo kutangaza kuwa halikubaliani na matokeo ya Urais na hivyo linayafuta pamoja na kuwaondoa kazini Viongozi wa Taasisi zote za Umma
Wengine waliokamatwa ni Mtoto wa Rais, ambaye ni Mshauri wake wa karibu, Noureddin Bongo Valentin, Katibu Mkuu Kiongozi, Makamu wa Rais, Washauri wengine wa Rais na Maafisa Wakuu wa Chama Tawala cha PDG
Kwa mujibu wa Jeshi, Viongozi hao wanatuhumiwa kwa Uhaini, Ubadhirifu, Rushwa na Kughushi Saini ya Rais na tuhuma nyingine

#EXCLUSIVE: LINDA (50) AMWAGA MACHOZI ALIVYOMUIBIA PESA BABA YAKE, AFICHUA ALIVYOUZA DAWA za KULEVYA

Leave A Reply