The House of Favourite Newspapers

Gari la Aina Yake la Kubebea Maiti Latua Nchini!

0
Gari la kubebea maiti lenye muonekano wa kipekee likiwa makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
Wananchi wakiendelea kujadiliana jambo huku kubebea maiti likiwa mbele yao.

Gari la kubebea maiti lenye muonekano wa kipekee limetua nchini Tanzania na kuwa kivutio kwa waombolezaji kila linapopita barabarani au kuingia makaburini. Pichani ni gari hilo likiingia katika eneo la makaburi ya Kinondoni jijini Dar.

Leave A Reply