The House of Favourite Newspapers

Yaliyomo kwenye Gazeti la Ijumaa: Jokate anasa ujauzito!

0

Jokate

Wakati Wema akihaha kusaka mtoto, Jokate anasa ujauzito!

-Ashindwa kuhudhuria pati ya Wema

-Unataka kumjua mwenye ‘mzigo’ huo?

-Jokate anena na mazito na Ijumaa.

Zari ammaindi mrembo aliyejichora tatuu ya Diamond

-Je, unataka kumjua mrembo huyo ni nani?

-Unataka kufahamu undani wake?

Mme wa mtu afanya mambo ya aibu

-Je, unataka kujua alichokifanya mbaba huyu, wapi na ilikuwaje?

Dada wa Diamond afanyiwa kitu mbaya usiku

-Ni Queen Darleen

-Watu wataka kumkatisha uhai.

-Unataka kujua amefanyiwa kitendo gani?

Kufahamu undani wa yote haya na mengine mengi, usikose kusoma Gazeti la IJUMAA.

 

Leave A Reply