The House of Favourite Newspapers

GEPF Watoa Msaada kwa Kikundi Cha Tanzanite Disabled Arts Group Dar

0

1  

Mwenyekiti wa Tanzanite Disabled Arts group Bw. Mohammed Chasamba akiwaeleza shughuli za kikundi hicho balozi wa GEPF Bi. Rose Ndauka pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na MawasilianoM Bw. Aloyce Ntukamazina.

2

Pichani wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Tanzanite Group wakitoa burudani kwa wageni wao kabla ya kupokea msaada huo.

7

Mmoja wa wanufaika wa msaada huo akifurahia zawadi hizo na Bi. Rose Ndauka.

Leave A Reply