The House of Favourite Newspapers

Prezzo Usipime kwenye Interview Global TV Online

0

prezzo (1)

Prezzo kwenye pozi.prezzo (2) prezzo (3)

…Akiwa na Mhariri Mwandamizi wa Global Publishers, Walusanga Ndaki.prezzo (5)

…Katika pozi na mwandishi wa Globa Publishers, Andrew Carlos.

MKALI wa rap kutoka Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’ leo amekinukisha kwenye ofisi za Global Publishers katika ‘exclussive interview’ kupitia Global Tv On Line huku waandishi wa magazeti pedwa Bongo ya Risasi, Ijumaa, Amani, Uwazi na Championi wakimuuliza maswali mbalimbali ambayo aliyatolea ufafanuzi.

Miongoni mwa maswali aliyoulizwa na kuyajibu ni kuhusu kuwahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na Wema Sepetu, juu ya yeye kuishi Bongo, kuhusu kutokuwa mfuasi wa dini yeyote na mambo mengine mengi. Interview nzima, usiache kutembelea Global Tv On Line maana inapanda soon.

PICHA NA GPL

Leave A Reply