The House of Favourite Newspapers

Gepf Watoa Msaada wa Kompyuta na Printa kwa Bodi ya Ngo’s

0

1

Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa GEPF Bw. Edgar Shumbusho akimkabidhi baadhi ya vifaa hivyo Katibu Mkuu wa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga.

2

   Katibu Mkuu Bi. Sihaba Nkinga akitoa neno la shukurani kwa niaba ya wizara kwa ujumbe kutoka Mfuko wa Pensheni wa GEPF.

3

Mjumbe wa Baraza la NGO Bw. Ajax Diria akitoa neno la shukurani kwa niaba ya baraza akishuhudiwa na mwenyekiti wa Baraza Bi. Rukia Masasi.

4

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano, Bw Aloyce Ntukamazina akielezea shughuli za Mfuko na mafanikio yaliyopatikana katika sekta binafsi ikihusisha na NGO’s kwa kipindi cha mwaka 2015/16 kushoto kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa wizara Bw. Baraka Leonard.

5

Leave A Reply