The House of Favourite Newspapers

Gigy Money Kurudi Shule

0

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema kwamba, ameamua kurudi shule ili atimize malengo yake ambayo hakuweza kuyatimiza nyuma.

Akipiga stori mbili tatu na Risasi Vibes, mrembo huyo mwenye mvuto wa aina yake, alisema kwamba siku nyingi alikuwa anafikiria kurudi shule, ila alikuwa anaweka sawa baadhi ya mambo na sasa kila kitu kipo vizuri.

“Nimerudi shule na sasa naingia masomo ya jioni, nitakuwa nasomea mambo ya sheria kwa sababu ndiyo kitu ninachokipenda,” alisema Gigy.

 

STORI Memorise Richard, Risasi

Leave A Reply