The House of Favourite Newspapers

GLOBAL ENTERTAINMENT LIVE: Asha Barakah Agomea Shoo za Laki Tano

GLOBAL TV ONLINE kupitia kipindi chake cha GLOBAL ENTERTAINMENT kinachorushwa kila Ijumaa saa 5:00 asubuhi, leo tunaye  Mkurugenzi wa Bendi ya Twanga Pepeta, Asha Barakah ambeye amefunguka kugomea kupiga shoo za bei chee ambapo anasema kamwe hawezi kuruhusu bendi yake ikafanye shoo ya laki tano, kwani haina maslahi kwao.

Asha Barakah pia anasema kuwa msanii Diof kwa sasa ameacha kabisa madawa ya kulevya na kuhusu Ally Choki, bado Twanga Pepeta ila akitaka kufanya kazi zake binafsi anaruhusiwa.

FUATILIA LIVE SASA KUPITIA GLOBAL TV

Comments are closed.