The House of Favourite Newspapers

Global Habari Juni 2 – CCM Kutokomeza Rushwa Uchaguzi Mkuu 2020

0


Katibu wa Itikadi na Uenezi, CCM Humphrey Polepole amesema Chama hicho kimeazisha kituo cha taarifa za Uchaguzi Mkuu 2020 lengo likiwa ni kutokomeza rushwa kwa wanachama na wagombea ili kuwa na uchaguzi wa huru na wa haki.

Leave A Reply