Global Habari Nov 7: Makamu wa Rais Afungua Mkutano wa Mawaziri SADC

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zimejipanga kikamilifu kutekeleza program za kikanda katika sekta ya afya zinazolenga magonjwa ya kuambukiza, masuala ya lishe pamoja na kuimarisha mfumo wakukabiliana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo EBOLA.

Hayo yamesemwa hii leo jijini Dar es Salaam na makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa mkutano wa mawaziri wa Afya pamoja na wale wanaoshughulikia masuala ya UKIMWI kwa Nchi Wanachama wa Jumuhiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC.


Loading...

Toa comment