The House of Favourite Newspapers

GLOBAL HABARI SEPT. O2 – RAIS SAMIA USO KWA USO NA GWAJIMA -VIDEO

0


Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imepunguza Tozo za Miamala ya Kutuma na Kutoa Fedha kwa Mwaka 2021/22 kwa asilimia 30 huku akiongeza kuwa Tozo hizo zitaendelea kuwepo ili kusaidia utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa vyumba vya madarasa Nchini. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply