The House of Favourite Newspapers

GLOBAL RIPOTA VIDEO: Ajali Mbaya Yafunga Barabara Maeneo ya Mwananchi

Ajali imetokea leo karibu na Ofisi ya Mwananchi na kufunga barabara baada ya lori lilokuwa limebeba mbao kuacha njia na kugonga nyumba hali iliyosababisha mbao hizo kuanguka chini na kufunga barabara.

GLOBAL TV – RIPOTA ni Youtube Channel ya Jamii, inakupa nafasi wewe mdau ku share habari na matukio ya kipekee na wenzio popote walipo duniani, kwa kutumia simu yako ya mkononi.

Popote ulipo unapokutana na tukio ambalo unaweza kulinasa kwa njia ya video ya simu yako, basi usisite kufanya hivyo na kisha tutimie kwenda namba 0753 715 779 (+255753715779).

SHARE NA ULIMWENGU wapate kufahamu kinachoendelea hapo ulipo. Tunalipa vizuri video za habari na matukio ya kwanza kutufikia. Sunscribe hapa https://www.youtube.com/channel/UCTY4BPnvLMfk6AM-IpEqpKg

Comments are closed.