The House of Favourite Newspapers

Global TV Online: Kipindi cha Maisha ya Wanyama Leo Saa 11.30 Jioni

0

 

TV namba moja  Tanzania inayoruka kupitia Youtube Global TV Online itakuketea kipindi cha kusisimua cha maisha ya wanyama  kutoka mbuga ya Serengeti na Ngorongoro, Tanzania. Kupitia kipindi hiki leo saa 12:15 jioni utajionea vitu ‘amazing’ vya maisha ya wanyama wakiwemo simba, twiga, tembo, swala na kadhalika.


Kipindi hiki si cha kukosa kufuatilia leo, kama huja-subscribe hakikisha unaingia Youtube na tafuta Global TV Online kisha subscribe na bonyeza kengele ili kitapoanza kwenda mubashara uweze kutaarifiwa kupitia simu yako ya mkononi.  Mkumbushe mwenziyo ili akae karibu na Global TV.

 

SUBSCRIBE HAPA: www.youtube.com/user/uwazi1

 

Leave A Reply