The House of Favourite Newspapers

Global Walivyo Msaplaiz Meneja Wao Birthday Yake – Video

0

LEO FEBRUARI 24, ni siku muhimu sana kwa Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Uongozi na wafanyakazi wote wa Makampuni ya Global Group tunamtakia heri ya kuzaliwa Meneja Mkuu wetu, Abdallah Mrisho.

 

Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa wafanyakazi wote wa Makampuni ya Global Group na Tanzania kwa ujumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali. Happy Birthday Abby Mrisho.

 

Leave A Reply