The House of Favourite Newspapers

GSM Waweka Bil 2 Kudhamini Ligi Kuu ya NBC – (Picha +Video)

0

 

Makamu wa Kwanza wa Rais TFF, Athuman Nyamlani (Kulia) na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Group Eng.Hersi Said (kushoto) wakionesha mfano wa Hundi ya mkataba uliosainiwa leo wa Udhamini Mwenza wa Ligi Kuu ya NBC wenye thamani ya shilingi Bilioni 2.1 kwa miaka 2.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo Novemba 23, 2021  limeingia mkataba na GSM Group kuwa mdhamini mwenza wa Ligi Kuu ya NBC wenye thamani ya Shilingi bilioni 2.1 kwa kipindi cha miaka miwili.

Makamu wa Kwanza wa Rais TFF, Athuman Nyamlani (Kulia) na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Group Eng.Hersi Said (kushoto) wakionesha mkataba uliosainiwa leo wa Udhamini Mwenza wa Ligi Kuu ya NBC wenye thamani ya shilingi Bilioni 2.1 kwa miaka 2.
Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM Group Eng.Hersi Said akizungumza wakati wa Hafla ya kusaini mkataba wa Udhamini Mwenza wa Ligi Kuu ya NBC kati ya TFF na GSM Group wenye thamani ya shilingi Bilioni 2.1 kwa miaka 2.

Leave A Reply