The House of Favourite Newspapers

Hakimu Mstaafu Geita Afariki Dunia

0

HAKIMU mstaafu wa Mahakama ya Mkoa wa Geita, Mhe. Elisha Sabuka, amefariki dunia, usiku wa kuamkia Machi 17, 2021 nyumbani kwake, eneo la Bomani, Mkoani Geita, kwa matatizo ya moyo.

 

 

Mwili wa Mhe. Sabuka unatarajiwa kuzikwa kesho Ijumaa, kijijini kwao Mwingilo Mkoani humo. Familia ya marehemu, imesema wamempoteza, baba aliyekuwa mchapakazi, mwenye upendo na aliyependa maslahi ya nchi yake.

 

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. AMEN!

Leave A Reply