The House of Favourite Newspapers

Happy Birthday Diamond Platnumz!

0

LEO ni siku  ya kuzaliwa kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, na website ya  Global Digital tunamtakia kila la heri mwanamuziki huyo.

Katika tukio hili tunamwambia kwamba: Tunautambua mchango wako mkubwa  kwa website na mitandao yetu ya Global Publishers Ltd na Tanzania kwa jumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi na afya njema kwa Mwenyezi Mungui.

Happy Birthday Diamond Platnumz!

Leave A Reply