The House of Favourite Newspapers

Happy birthday rais wetu Jakaya Mrisho Kikwete

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anamaliza kipindi cha utawala wake wa miaka kumi amefanya mambo mengi ya maendeleo na kustawisha hali ya uchumi na jamii ya Tanzania kadiri alivyoweza. Kama binadamu viongozi wengine, ameffanya juu chini kutekeleza alichohiahidi kwa wananachiwake tangu aingia mdarakani mwaka 2005. Baadhi ya mambo aliyoyafanya ni yafuatayo:

Global Publishers inakutakia siku njema ya kuzaliwa kwako Mpenzi Rais Wetu Jakaya Misho Kikwete.

Leave A Reply