The House of Favourite Newspapers

Hashimu Rungwe Afunguka Baada ya Kukaa Mahabusu Siku 7 (Video)

0

MWENYEKITI wa Chama cha Umma (Chaumma) na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015, Hashimu Rungwe Spunda amefunguka baada ya kukaa mahabusu kwa siku 7 katika kituo Kikuu cha Polisi Dar alipokuwa anashikiliwa kwa tuhuma za kujipatia fedha kwa njia za utapeli.

Rungwe amedai hajui sababu ya yeye kushikiliwa na Jeshi la Polisi huku akisema kilichotendeka si sawa hata kidogo. Amepinga kauli ya polisi kumshutumu amefoji nyaraka huku akilitaka jeshi hilo wamchukulie hatua iwapo kweli amefanya hivyo.

Leave A Reply