The House of Favourite Newspapers

HATARI: Baba DIAMOND Ana KANSA, Dada Amlilia MAGUFULI “Msaidieni” – VIDEO

Ni takribani wiki sasa tangu mwanadada Zubeda, atie kambi Bongo akitokea London kwa ajili ya kuja kumsaidia Baba wa Mwanamuziki nguli Bongo, Diamond Platnumz, ambaye hali yake kiafya ni mbaya kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya miguu kwa muda mrefu kidogo.

Dada huyo amesema lengo haswa lililomleta Bongo ni kutaka kumpatanisha Diamond na Baba yake ili aweze kumsaidia Mzee matibabu kama ambavyo anawasaidia watu wengine ambao hana hata undugu nao.

Comments are closed.